On 31.1.17

NAFASI ZA KAZI ZA UDEREVA  KAMPUNI YA METL

Kampuni ya METL inapenda kuwatangazia nafasi za kazi ya udereva  (nafasi 40) magari ya mairimatatu

MUOMBAJI AWE NA VIGEZO  VIFUATAVYO

·         Awe na uzoefu usiopungua miaka 2-4 kwenye kampuni inayotambulika

·         Awe na leseni ya udereva

·         Awe na ujuzi wa kuendesha gari zaid ya matairi matatu

·         Umri kuanzia miaka 25

·         Mchapaka kazi mwadilifu na mwenye kuzingatia muda

·         Uzoefu wa kazi husika kwa miaka miwili au zaid

MAJUKUMU

·         KUUZA bidhaa mbali mbali zizlizozalishwa na kampuni

·         Kutaarifu wateja kuhusu bidhaa mpya pamoja na mabadiliko ya bei

·         Kusambaza bidhaa za kampuni

·         Kutunza kumbukumbu ya mauzo

·         Kutunza risiti zote za mauzo

·         Kupokea oda za wateja

Kama unavigezo tajwa hapo juu tuma maombi kwa anauani ifuatayo kabla ya tarehe 15 February 2017

IDARA YA RASILIMARI WATU,

MOHAMED ENTERPRISES TANZANIA LIMITED,

S.L.P 20660,

DAR ES SALAAM AU

Tembelea kipawa industrial area kitalu No. 69-73 au tuma cv kwenye This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

SOURCE MWANANCHI January 31, 2017
Receive New Jobs everyday to your inbox. New Jobs Tanzania.

Next
« Prev Post
Previous
Next Post »