On 21.3.17


Umoja wa mataifa umetangaza nafasi za kazi kwa nchi zote wanachama wa umoja wa mataifa , maofisa wenye sifa wanatakiwa kujaza fomu za "EMPLOYMENT and ACADEMIC CERTIFICATION FORM " na kuzituma makao makuu  kitengo cha uhusiano wa kimamaifa kupitia barua pepe staffofficer.ir@gmail.com,  nafasi hizo ni :-
(A) UNAMISS
  (i) PoC SITE CORDINATOR, P - 4
  (ii) COMMUNITY POLICY ADVISOR  P-4
(B) BRINDISI ITALY
(i) Public Order Adviser, P-4
(ii) Transnational Organised Crime Officer, P- 3
(iii) Investigations Adviser, P- 4 
(iv) Logistics Advise,r P- 4
(v)  Police Personel Management Officer, P- 3 
( vi) Police Reform Adviser, P - 4
kwa maelekezo zaidi bofya hapa


Receive New Jobs everyday to your inbox. New Jobs Tanzania.

Next
« Prev Post
Previous
Next Post »