Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni anapenda kuwatangaiia nafasi za ka'zi I
Watanzania wenye sifa kama ifuatavyo :-
Watanzania wenye sifa kama ifuatavyo :-
Mtendaji Wa Mtaa III X 27
SIFA
Kuajiriwa mwenye Elimu ya Kidato cha (IV) au (VI) aliyehitimu Astashahada/
Cheti katika fani ya Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha,
Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa
Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

KAZI NA MAJUKUMU
i) Katibu wa Kamati ya Mtaa;
ii) Mtendaji Mkuu wa Mtaa;
iii) Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na
Halmashauri katika Mtaa
iv) Mshauri wa Kamati ya Mtaa kuhusu Mipango ya Maendeleo katika
Mtaa;
v) Msimamizi wa Utekelezeji wa Sheria Ndogo pamoja na Sheria nyingine
zinazotumika katika Mtaa;
vi) Mshauri wa Kamati ya Mtaa kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama;
vii) Msimamizi wa utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji
wa njaa na Umaskini katika Mtaa;
viii) Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza
kumbukumbu za walipa kodi wote;
ix) Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wote wa Mtaa; na
x) Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata

NGAZI YA MSHAHARA '- TG5 B
MASHARTI VA JUMLA:
Mwombaji lazima awe Raia wa Tanzania.
Awe amehitimu na Kupata Cheti cha Taaluma cha Kidato cha Nne (IV) au (VI) NB. Results Slip hazikubaliki
Awe na Cheti cha Kuzaliwa

Barua zote ziambatane na nyaraka zifuatazo;-
i) Nakala za Vyeti vya Mwombaji vilivyothibitishwa.
ii) Maelezo binafsi ya Mwombaji (Curriculum Vitae).
iii) Picha ndogo za rangi (Coloured Passport size) mbili (2) za Mwombaji
za hivi karibuni.
Kila mwombaji lazima awe na Umri kati ya miaka 18 - 45
Waombaji wenye Sifa Pungufu au zaidi na zilizotajwa hapo juu hawashauri kuomba.

Barua zote za maombi ziandikwe kwa rnkono, zikiwa na anwani kamili ya Mwombaji, pamoja na namba ya simu na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-
MKURUGENZI WA MANISPAA
MANISPAA VA KINONOONI
S. L. P. 31902
2BARABARA YA MOROGORO,
14883 DAR ES SALAAM.
MANISPAA VA KINONOONI
S. L. P. 31902
2BARABARA YA MOROGORO,
14883 DAR ES SALAAM.